BABA WA TAIFA MWL. NYERERE AKIWA NA KIYUNGI KIYUNGI SHAMBANI KWA BABA WA TAIFA KIJIJINI BUTIAMA.. KIYUNGI ALIKUWA MMOJA KATI YA WANAHABARI WACHACHE WALIOMSIINDIKIZA MWL. NYERERE KURUDI KIJINI KWAKE BUTIAMA MKOANI MARA MWAKA 1985.PIA ALIPATA BAHATI YA KWENDA KUMZIKA KIJIJINI HAPO BAADA YA KUFARIKI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA ST. THOMAS HUKO LONDON..
No comments:
Post a Comment