GENERALDEFAO NA BIG STARS
JINA LAKE HALISI NI MUTOMONA DEFAO
LULENDO ALIZALIWA KATIA JIJI LA KINSHASA
TAREHE 31
DECEMBER 1958 . ALIAZA KUJISHUGHULISHA NA MUZIKI MWAKA 1976, KATIKA BENDI ZA ORCHESTRE SUKA MOVEMA, BAADAYE AKAJIUNGA NA
BENDI YA FOGO STARS. MWAKA 1978 DEFAO
AKAENDA KUPIGA MUZIKI KATIKA BENDI YA
KOROTORO HUKO SOMO MAGHARAIBI.
MWAKA 1981 ALIKUWA MMOJA WA WANAMUZIKI
WALIUNDA BENDI MPYA YA GRAND ZAIKO WAWA IKIONGOZWA NA MPIGA GITA
MNASHUHURI PEPE FELIX MANUAKU. BADAYE TENA ALIUNGANA NA MWANAUZIKI BEN NYAMABO
KULIUNDA KIKOSA KIPYA CHA CHOC STARS.
BENDI HIYO YA CHOC STARS NA ORCHESTRE SHAKARA GAGNA GAGNA, ILIYOKUWA CHIUNI YA UONGOZI WA JEANPY WABLE GYPSON ULIMUWEKA "LE GENERAL DEFAO" KWA MARA YA KWANZA KUWA MAARUFU KITAIFA.

PAMOJA
NA WANAMUZIKI WAKINA BEN NYAMABO,
DEBABA, CARLITO, BOZI BOZIANA NA DJUNA DJUNANA, BENDI YAKE YA CHOC STARS YA DEFAO ILIKUWA KUPITIA TUNGO YA NYIMBO ZAKE ,UIMBAJI NA
JINSI ALIVYOKUWA AKUIONYESHA KIPAJI CHAKE CHA KUMUDU KULISHAMBULIA JUKWA.
GENERAL DEFAO ILIPOFIKA MWISHONI MWA MWAKA 1990, ALIONDOKA CHOC STARS AKIWA NA MADHUMUNI YA KUUNDA BENDI YA BIG STARS AKISHIRIKJIANA NA MWIMBAJI MWINGINE DJO POSTER AMBAYE ALIKUWA AKITOKEA KATIKA BENDI YA ALIYOJULIKANA KAMA GRAND ZAIKO.

ALIONGEZA
MPIGA SOLO MAHIRI CHIPUKIZI JAGGER
BOKOKO AMBAYE AKATOKEA KUWA KIPENZI KIKUBWA CHA DEFAO. WANAMUZIKI WENGINE WABENDI YA
BIG STAR NI PAMOJA NA WAIMBAJI DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA, ADOLI BAMWENIKO,
WAPIGA MAGITA MOGUS KWA UPANDE WA SOLO,
GITA LA BESI ALIKUWA GUY WA NZAMBI, TUMBA ZIKIUNGURUMISHWA NA RICHA COGNA COGNA
NA WAPIGA KINANDA NI SEDJO NA KAVANDA.
KATIKA
KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA BENDI YA BIG STARS, DEFAO ALIONESHA UBUNIFU NA MAFANIKIO MAKUBWA BAADA YA KUFYATUA ALBUM ZISIZOPUNGUA 17 SITA KATI YA HIZO
ZIKAINGIA KATIKA SOKO LA ULAYA MWAKA
1995.
UMOJA WAO
HAUKUDUMU KIPINDI KIREFU KWANI DJO ALIONDOKA NA KUMUACHA DEFAOA AKIWA KIONGOZI
WA BIG STARS.
BIG STARS
AILIJUMISHA KIKOSI KIPYA CHA WANAMUZIKI NA KUMUONGEZA ROXY TSHIMPAKA
ALIYECHOMOKA TOKA BENDI YA CHOC STARS. LAKINI HAIKUWA WA MISHO KWANI BAADAYE
MPIGAJI GITA LA SOLO JAGGER BOKOKO AKAWA KUWA KIENZI KIKUBWA CHA DEFAO AKIWA NA MWIMBAJI MPYA AZANGA.
WANAMUZIKI
WENGINEMWA BENDI YA BIG STAR NI WAIMBAJI
DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA NA ADOLI BAMWENIKO. MPIGA GITA YUKO GUY
WA ZAMBI NA KWA UPANDE WA DRUMS NI RICHA COGNA COGNA. KINANDA KINABONYEZWA
NA SEDJO NA KAVANDA.
KWENYE MIKA
1990 ALIKUWA NI MWANAMUZIKI MASHUHURI NA ALIJIPATIA UMAARUFU AKILINGANISHWA NA
WANAMUZIKI KAMA AKINA PAPA WEMBA, KOFFI OLOMIDE, BOZI BOZIANA NA KESTER
EMENEYA.
INGAWA
HAKUWA NA MATARAJIO YA KUUZA KAZI ZAKE
SAWA NA KIWANGO CHA KIMATAIFA KAMA WENZAKE AKINA PAPA WEMBA NA KOFFI OLOMIDE.
HAPANA
UBISHI KWAMBA DEFAO NI MWANAMUZIKI MWANYE UMAARUFU MKUBWA MIONGONI MWA WAKONGO.
UMAARUFU UNATOKANA NA SAUTI YAKE NA NYIMBO ZAKE
AMBAZO ZIKO KATIKA KIWANGO CHA JUU
NA KUPIGWA KATIKA MITINDO YA
MIWILI YA RUMBA NA SEBENE MOLD.
GENERAL DEFAO SI TU NI MWIMBAJI BORA TOKA DRC
LAKINI PIA PASIPO MASHAKA NI BORA KWA
UNENGUAJI AKIWA JUKWAANI.
KUTOKUWA NA
UANGALIZI WA UAZLISHAJI WA KAZI TOKA KWA MENEJA WAKE, DEFAO HULZIMIKA KUBADILI
MA PRODYUZA NA KAMPUNI ZA KUREKODIA.
WAKATI
MWINGINE ALIKUWA AKITOKA NA MATOLEA YA KAZI ZAKE ZILEZILE KWA LEBO TOFAUTI.
MWAKA 2000 ALILIVUJA KUNDI ZIMA LA BIG STAR NA AKAAMUA KWENDA KUTANUA KATIKA JIJI LA PARIS WAKATI WA KIPINDI CHA JOTO.

AKIWA PARIS
ALIREKODI ALBUM YA NESSY
DE LONDON, AKIWA NA NYOTA WAKALI WAISHIO KATIKA JIJI HILO LA PARIS.
KWA MSAADA
WA WANAMUZIKI NGULI AKINA NYBOMA MWAN DIDO, LUCIANA DE MINGONGO, WUTA MAYI,
BALLOU CANTA NA DEESSE MUKANGI, NA ALIFANYA ONYESHO KUBWA LILIWAVUTIA
AKIWATUMIA WAIMBAJI HAO WAALIKWA NA KUMFANYA DEFAO NA ALBUM YAKE YA DE LONDON
KUPANDA CHATI ZAIDI.
DEDAO BAADAYE AKAWA KIMYA KATIKA MUZIKI NA YASEMEKANA KUWA HIYO ILITOKANA NA SINTOFAHAMU YA KISIASA NCHINI MWAKE ILIYOPELEKEA KUFUNGIWA KUPIGA MUZIKI HUKO JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO WAKATI WA UONGOZI WA RAIS LAULER KABILA.

DEFAO ALIFIKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI IKIWEMO TANZANIA
AMABPO ALIKUMBANA MATATIZO LUKUKI WAKATI WA MWAKA MPYA WA MILLENIUM.
ALIKOSA PESA PESA IKIWA NA VISA YAKE KUWA MUSHKERI.
DEFAO ALIFULIA HADI NAULI YA KUMREJESHA KWAO DRC HADI
ALIPOPEWA LIFT KATIKA NDEGE YA ATC ALIYOKUWA IKIZINDUA SAFARI ZAKE KATI YA DAR
ES SALAAM NA LUBUMBASHI NCHINI DRC.
WAPENZI WAKE WALILAZIMIKA KUSUBIRI KWA KIPINDI KIREFU HADI
ILIPOFIKA MWAKA 2006 NDIPO ALIPOTOKA NA
ALBUMA YAKE MPYA YENYA EBO YA NZOMBO LE SOIR.
BAADA YA MIAKA MINNE MINGINE ALIFYATUA
CD YAKE YENYE LEBO YA PUR ENCORE MWKA 2010.
MWAKA JANA
WA 2012 DEFAO KWA BAHATI NZURI ALIRUDI ULIONGONI AKIWA NA ALBUM YA
THE UNDERTAKER.
DEFAO WA BIG STARS
JINA LAKE HALISI NI MUTOMONA DEFAO
LULENDO ALIZALIWA KATIA JIJI LA KINSHASA
TAREHE 31
DECEMBER 1958 . ALIAZA KUJISHUGHULISHA NA MUZIKI MWAKA 1976, KATIKA BENDI ZA ORCHESTRE SUKA MOVEMA, BAADAYE AKAJIUNGA NA
BENDI YA FOGO STARS. MWAKA 1978 DEFAO
AKAENDA KUPIGA MUZIKI KATIKA BENDI YA
KOROTORO HUKO SOMO MAGHARAIBI.
MWAKA 1981 ALIKUWA MMOJA WA WANAMUZIKI
WALIUNDA BENDI MPYA YA GRAND ZAIKO WAWA IKIONGOZWA NA MPIGA GITA
MNASHUHURI PEPE FELIX MANUAKU. BADAYE TENA ALIUNGANA NA MWANAUZIKI BEN NYAMABO
KULIUNDA KIKOSA KIPYA CHA CHOC STARS.
BENDI HIYO YA CHOC STARS NA ORCHESTRE SHAKARA GAGNA GAGNA, ILIYOKUWA CHIUNI YA UONGOZI WA JEANPY WABLE GYPSON ULIMUWEKA "LE GENERAL DEFAO" KWA MARA YA KWANZA KUWA MAARUFU KITAIFA.
BENDI HIYO YA CHOC STARS NA ORCHESTRE SHAKARA GAGNA GAGNA, ILIYOKUWA CHIUNI YA UONGOZI WA JEANPY WABLE GYPSON ULIMUWEKA "LE GENERAL DEFAO" KWA MARA YA KWANZA KUWA MAARUFU KITAIFA.
PAMOJA
NA WANAMUZIKI WAKINA BEN NYAMABO,
DEBABA, CARLITO, BOZI BOZIANA NA DJUNA DJUNANA, BENDI YAKE YA CHOC STARS YA DEFAO ILIKUWA KUPITIA TUNGO YA NYIMBO ZAKE ,UIMBAJI NA
JINSI ALIVYOKUWA AKUIONYESHA KIPAJI CHAKE CHA KUMUDU KULISHAMBULIA JUKWA.
GENERAL DEFAO ILIPOFIKA MWISHONI MWA MWAKA 1990, ALIONDOKA CHOC STARS AKIWA NA MADHUMUNI YA KUUNDA BENDI YA BIG STARS AKISHIRIKJIANA NA MWIMBAJI MWINGINE DJO POSTER AMBAYE ALIKUWA AKITOKEA KATIKA BENDI YA ALIYOJULIKANA KAMA GRAND ZAIKO.
GENERAL DEFAO ILIPOFIKA MWISHONI MWA MWAKA 1990, ALIONDOKA CHOC STARS AKIWA NA MADHUMUNI YA KUUNDA BENDI YA BIG STARS AKISHIRIKJIANA NA MWIMBAJI MWINGINE DJO POSTER AMBAYE ALIKUWA AKITOKEA KATIKA BENDI YA ALIYOJULIKANA KAMA GRAND ZAIKO.
ALIONGEZA
MPIGA SOLO MAHIRI CHIPUKIZI JAGGER
BOKOKO AMBAYE AKATOKEA KUWA KIPENZI KIKUBWA CHA DEFAO. WANAMUZIKI WENGINE WABENDI YA
BIG STAR NI PAMOJA NA WAIMBAJI DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA, ADOLI
BAMWENIKO, WAPIGA MAGITA MOGUS KWA
UPANDE WA SOLO, GITA LA BESI ALIKUWA GUY WA NZAMBI, TUMBA ZIKIUNGURUMISHWA NA
RICHA COGNA COGNA NA WAPIGA KINANDA NI SEDJO NA KAVANDA.
KATIKA
KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA BENDI YA BIG STARS, DEFAO ALIONESHA UBUNIFU NA MAFANIKIO MAKUBWA BAADA YA KUFYATUA ALBUM ZISIZOPUNGUA 17 SITA KATI YA HIZO
ZIKAINGIA KATIKA SOKO LA ULAYA MWAKA
1995.
UMOJA WAO
HAUKUDUMU KIPINDI KIREFU KWANI DJO ALIONDOKA NA KUMUACHA DEFAOA AKIWA KIONGOZI
WA BIG STARS.
BIG STARS
AILIJUMISHA KIKOSI KIPYA CHA WANAMUZIKI NA KUMUONGEZA ROXY TSHIMPAKA
ALIYECHOMOKA TOKA BENDI YA CHOC STARS. LAKINI HAIKUWA WA MISHO KWANI BAADAYE
MPIGAJI GITA LA SOLO JAGGER BOKOKO
AKAWA KUWA KIENZI KIKUBWA CHA DEFAO AKIWA NA MWIMBAJI MPYA AZANGA.
WANAMUZIKI
WENGINEMWA BENDI YA BIG STAR NI WAIMBAJI
DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA NA ADOLI BAMWENIKO. MPIGA GITA YUKO GUY
WA ZAMBI NA KWA UPANDE WA DRUMS NI RICHA COGNA COGNA. KINANDA KINABONYEZWA
NA SEDJO NA KAVANDA.
KWENYE MIKA
1990 ALIKUWA NI MWANAMUZIKI MASHUHURI NA ALIJIPATIA UMAARUFU AKILINGANISHWA NA
WANAMUZIKI KAMA AKINA PAPA WEMBA, KOFFI OLOMIDE, BOZI BOZIANA NA KESTER
EMENEYA.
INGAWA
HAKUWA NA MATARAJIO YA KUUZA KAZI ZAKE
SAWA NA KIWANGO CHA KIMATAIFA KAMA WENZAKE AKINA PAPA WEMBA NA KOFFI OLOMIDE.
HAPANA
UBISHI KWAMBA DEFAO NI MWANAMUZIKI MWANYE UMAARUFU MKUBWA MIONGONI MWA WAKONGO.
UMAARUFU UNATOKANA NA SAUTI YAKE NA NYIMBO ZAKE AMBAZO ZIKO KATIKA KIWANGO CHA JUU NA KUPIGWA KATIKA MITINDO YA MIWILI YA
RUMBA NA SEBENE MOLD.
GENERAL DEFAO SI TU NI MWIMBAJI BORA TOKA DRC
LAKINI PIA PASIPO MASHAKA NI BORA KWA
UNENGUAJI AKIWA JUKWAANI.
KUTOKUWA NA
UANGALIZI WA UAZLISHAJI WA KAZI TOKA KWA MENEJA WAKE, DEFAO HULZIMIKA KUBADILI
MA PRODYUZA NA KAMPUNI ZA KUREKODIA.
WAKATI
MWINGINE ALIKUWA AKITOKA NA MATOLEA YA KAZI ZAKE ZILEZILE KWA LEBO TOFAUTI.
MWAKA 2000 ALILIVUJA KUNDI ZIMA LA BIG STAR NA AKAAMUA KWENDA KUTANUA KATIKA JIJI LA PARIS WAKATI WA KIPINDI CHA JOTO.
MWAKA 2000 ALILIVUJA KUNDI ZIMA LA BIG STAR NA AKAAMUA KWENDA KUTANUA KATIKA JIJI LA PARIS WAKATI WA KIPINDI CHA JOTO.
AKIWA PARIS
ALIREKODI ALBUM YA NESSY
DE LONDON, AKIWA NA NYOTA WAKALI WAISHIO KATIKA JIJI HILO LA PARIS.
KWA MSAADA
WA WANAMUZIKI NGULI AKINA NYBOMA MWAN DIDO, LUCIANA DE MINGONGO, WUTA MAYI,
BALLOU CANTA NA DEESSE MUKANGI, NA ALIFANYA ONYESHO KUBWA LILIWAVUTIA
AKIWATUMIA WAIMBAJI HAO WAALIKWA NA KUMFANYA DEFAO NA ALBUM YAKE YA DE LONDON
KUPANDA CHATI ZAIDI.
DEDAO BAADAYE AKAWA KIMYA KATIKA MUZIKI NA YASEMEKANA KUWA HIYO ILITOKANA NA SINTOFAHAMU YA KISIASA NCHINI MWAKE ILIYOPELEKEA KUFUNGIWA KUPIGA MUZIKI HUKO JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO WAKATI WA UONGOZI WA RAIS LAULER KABILA.
DEDAO BAADAYE AKAWA KIMYA KATIKA MUZIKI NA YASEMEKANA KUWA HIYO ILITOKANA NA SINTOFAHAMU YA KISIASA NCHINI MWAKE ILIYOPELEKEA KUFUNGIWA KUPIGA MUZIKI HUKO JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO WAKATI WA UONGOZI WA RAIS LAULER KABILA.
DEFAO ALIFIKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI IKIWEMO TANZANIA
AMABPO ALIKUMBANA MATATIZO LUKUKI WAKATI WA MWAKA MPYA WA MILLENIUM.
ALIKOSA PESA PESA IKIWA NA VISA YAKE KUWA MUSHKERI.
DEFAO ALIFULIA HADI NAULI YA KUMREJESHA KWAO DRC HADI
ALIPOPEWA LIFT KATIKA NDEGE YA ATC ALIYOKUWA IKIZINDUA SAFARI ZAKE KATI YA DAR
ES SALAAM NA LUBUMBASHI NCHINI DRC.
WAPENZI WAKE WALILAZIMIKA KUSUBIRI KWA KIPINDI KIREFU HADI
ILIPOFIKA MWAKA 2006 NDIPO ALIPOTOKA NA
ALBUMA YAKE MPYA YENYA EBO YA NZOMBO LE SOIR.
BAADA YA MIAKA MINNE MINGINE ALIFYATUA
CD YAKE YENYE LEBO YA PUR ENCORE MWKA 2010.
MWAKA JANA
WA 2012 DEFAO KWA BAHATI NZURI ALIRUDI ULIONGONI AKIWA NA ALBUM YA
THE UNDERTAKER.
No comments:
Post a Comment