Wednesday, August 7, 2013

GENERAL DEFAO WA BIG STARS

GENERALDEFAO NA BIG STARS

JINA LAKE HALISI NI MUTOMONA DEFAO LULENDO  ALIZALIWA KATIA JIJI LA KINSHASA TAREHE 31 DECEMBER 1958 . ALIAZA KUJISHUGHULISHA NA MUZIKI MWAKA  1976, KATIKA BENDI ZA  ORCHESTRE SUKA MOVEMA, BAADAYE AKAJIUNGA NA BENDI YA  FOGO STARS. MWAKA 1978 DEFAO AKAENDA KUPIGA MUZIKI KATIKA BENDI YA  KOROTORO  HUKO  SOMO MAGHARAIBI.
MWAKA  1981 ALIKUWA MMOJA WA WANAMUZIKI WALIUNDA  BENDI MPYA YA  GRAND ZAIKO WAWA IKIONGOZWA NA MPIGA GITA MNASHUHURI PEPE FELIX MANUAKU. BADAYE TENA ALIUNGANA NA MWANAUZIKI BEN NYAMABO KULIUNDA KIKOSA KIPYA CHA CHOC STARS.

BENDI HIYO YA CHOC STARS NA ORCHESTRE SHAKARA GAGNA GAGNA, ILIYOKUWA CHIUNI YA UONGOZI WA  JEANPY WABLE GYPSON ULIMUWEKA "LE GENERAL DEFAO"  KWA MARA YA KWANZA  KUWA MAARUFU KITAIFA.

PAMOJA NA  WANAMUZIKI WAKINA BEN NYAMABO, DEBABA, CARLITO, BOZI BOZIANA NA DJUNA DJUNANA, BENDI YAKE YA  CHOC STARS YA DEFAO ILIKUWA  KUPITIA TUNGO YA NYIMBO ZAKE ,UIMBAJI NA JINSI ALIVYOKUWA AKUIONYESHA KIPAJI CHAKE CHA KUMUDU KULISHAMBULIA JUKWA.

GENERAL DEFAO ILIPOFIKA MWISHONI MWA MWAKA 1990, ALIONDOKA  CHOC STARS  AKIWA NA MADHUMUNI YA KUUNDA BENDI YA BIG STARS  AKISHIRIKJIANA NA MWIMBAJI  MWINGINE DJO POSTER AMBAYE ALIKUWA AKITOKEA KATIKA BENDI YA ALIYOJULIKANA KAMA  GRAND ZAIKO.
ALIONGEZA MPIGA SOLO MAHIRI CHIPUKIZI  JAGGER BOKOKO AMBAYE AKATOKEA KUWA KIPENZI KIKUBWA CHA DEFAO.  WANAMUZIKI WENGINE  WABENDI YA  BIG STAR NI PAMOJA NA WAIMBAJI DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA, ADOLI BAMWENIKO, WAPIGA MAGITA  MOGUS KWA UPANDE WA SOLO, GITA LA BESI ALIKUWA GUY WA NZAMBI, TUMBA ZIKIUNGURUMISHWA NA RICHA COGNA COGNA NA WAPIGA KINANDA NI SEDJO NA KAVANDA.
KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO YA BENDI YA BIG STARS, DEFAO ALIONESHA UBUNIFU  NA MAFANIKIO MAKUBWA BAADA YA KUFYATUA  ALBUM ZISIZOPUNGUA 17 SITA KATI YA HIZO ZIKAINGIA KATIKA SOKO LA ULAYA MWAKA  1995.

UMOJA WAO HAUKUDUMU KIPINDI KIREFU KWANI DJO ALIONDOKA NA KUMUACHA DEFAOA AKIWA KIONGOZI WA BIG STARS.

BIG STARS AILIJUMISHA  KIKOSI KIPYA  CHA WANAMUZIKI NA KUMUONGEZA ROXY TSHIMPAKA ALIYECHOMOKA TOKA BENDI YA CHOC STARS. LAKINI HAIKUWA WA MISHO KWANI BAADAYE MPIGAJI GITA LA SOLO  JAGGER BOKOKO AKAWA  KUWA KIENZI KIKUBWA CHA DEFAO  AKIWA NA MWIMBAJI MPYA AZANGA.                    
WANAMUZIKI WENGINEMWA BENDI YA BIG STAR NI WAIMBAJI  DJO DJO BAYENGE, DEBLEU KINANGA NA ADOLI BAMWENIKO. MPIGA GITA YUKO GUY WA ZAMBI  NA KWA UPANDE WA DRUMS  NI RICHA COGNA COGNA. KINANDA KINABONYEZWA NA  SEDJO NA KAVANDA.
KWENYE MIKA 1990 ALIKUWA NI MWANAMUZIKI MASHUHURI NA ALIJIPATIA UMAARUFU AKILINGANISHWA NA WANAMUZIKI KAMA AKINA PAPA WEMBA, KOFFI OLOMIDE, BOZI BOZIANA NA KESTER EMENEYA.
INGAWA HAKUWA NA MATARAJIO YA  KUUZA KAZI ZAKE SAWA NA KIWANGO CHA KIMATAIFA KAMA WENZAKE AKINA PAPA WEMBA NA KOFFI OLOMIDE.
HAPANA UBISHI KWAMBA DEFAO NI MWANAMUZIKI MWANYE UMAARUFU MKUBWA MIONGONI MWA WAKONGO. UMAARUFU UNATOKANA NA SAUTI YAKE NA NYIMBO ZAKE  AMBAZO ZIKO KATIKA KIWANGO CHA JUU  NA KUPIGWA KATIKA MITINDO YA  MIWILI YA  RUMBA NA SEBENE MOLD.
 GENERAL DEFAO SI TU NI MWIMBAJI BORA TOKA DRC LAKINI PIA PASIPO MASHAKA NI  BORA KWA UNENGUAJI AKIWA JUKWAANI.
KUTOKUWA NA UANGALIZI WA UAZLISHAJI WA KAZI TOKA KWA MENEJA WAKE, DEFAO HULZIMIKA KUBADILI MA PRODYUZA NA KAMPUNI ZA KUREKODIA.
WAKATI MWINGINE ALIKUWA AKITOKA NA MATOLEA YA KAZI ZAKE ZILEZILE KWA LEBO TOFAUTI.
MWAKA  2000 ALILIVUJA KUNDI ZIMA LA BIG STAR NA AKAAMUA KWENDA KUTANUA KATIKA JIJI LA PARIS WAKATI WA KIPINDI CHA JOTO.
AKIWA PARIS ALIREKODI ALBUM YA NESSY DE LONDON, AKIWA NA NYOTA WAKALI WAISHIO KATIKA JIJI  HILO LA PARIS.
KWA MSAADA WA WANAMUZIKI NGULI AKINA NYBOMA MWAN DIDO, LUCIANA DE MINGONGO, WUTA MAYI, BALLOU CANTA NA DEESSE MUKANGI, NA ALIFANYA ONYESHO KUBWA LILIWAVUTIA AKIWATUMIA WAIMBAJI HAO WAALIKWA NA KUMFANYA DEFAO NA ALBUM YAKE YA DE LONDON KUPANDA CHATI ZAIDI.
DEDAO BAADAYE AKAWA KIMYA KATIKA MUZIKI NA YASEMEKANA KUWA HIYO ILITOKANA NA SINTOFAHAMU YA KISIASA NCHINI MWAKE  ILIYOPELEKEA KUFUNGIWA KUPIGA MUZIKI HUKO JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO WAKATI WA UONGOZI WA RAIS LAULER KABILA.
DEFAO ALIFIKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI IKIWEMO TANZANIA AMABPO ALIKUMBANA MATATIZO LUKUKI WAKATI WA MWAKA MPYA WA MILLENIUM.
ALIKOSA PESA PESA IKIWA NA VISA YAKE KUWA MUSHKERI.
DEFAO ALIFULIA HADI NAULI YA KUMREJESHA KWAO DRC HADI ALIPOPEWA LIFT KATIKA NDEGE YA ATC ALIYOKUWA IKIZINDUA SAFARI ZAKE KATI YA DAR ES SALAAM NA LUBUMBASHI NCHINI DRC.
WAPENZI WAKE WALILAZIMIKA KUSUBIRI KWA KIPINDI KIREFU HADI ILIPOFIKA MWAKA 2006  NDIPO ALIPOTOKA NA ALBUMA YAKE MPYA YENYA EBO YA  NZOMBO LE SOIR. BAADA  YA MIAKA MINNE MINGINE ALIFYATUA CD YAKE YENYE LEBO YA  PUR ENCORE MWKA  2010.
MWAKA JANA WA 2012 DEFAO KWA BAHATI NZURI ALIRUDI ULIONGONI AKIWA NA  ALBUM YA  THE UNDERTAKER.

DEFAO WA BIG STARS

No comments: